Tag » Weyani

Vijana wa Kitanzania washinda tuzo ya Qur'an

Vijana wawili wa Kitanzania, mmoja kutoka Tanzania Bara na mwengine Zanzibar, wamechukua nafasi ya kwanza na ya tatu kwenye fainali za 27 za tuzo ya kimataifa ya kuhifadhi Qur’an Tukufu. 688 kata lagi

Weyani

Kuna baya zaidi katika Muungano kuliko hizo kero

Moja ya taarifa za hivi karibuni kabisa kuhusu utatuzi wa kero za Muungano wa Zanzibar na Tanganyika ulioundwa Aprili 1964 ni ile inayohusu Zanzibar sasa kushiriki masuala ya kimafaifa. 789 kata lagi

Weyani

Marekani yamfungulia mashtaka mapya Assange

Marekani imemfungilia mashitaka mapya muasisi wa tovuti ya uvujishaji wa nyaraka za siri Wikileaks, Julian Assange, ikimtuhumu kwa kuiweka Marekani katika kitisho cha kukumbwa na “madhara makubwa” kwa kuchapisha nyaraka mnamo mwaka wa 2010. 89 kata lagi

Weyani

Theresa May kuachia ngazi Juni 7

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ametangaza rasmi kujizulu akisema kuwa ataondoka rasmi kutoka nafasi ya uongozi wa chama chake cha Kihafidhina tarehe saba ya mwezi Juni. 359 kata lagi

Weyani

Uchokozi wa kina Bolton hautofua dafu

JOHN Bolton si mtu wa kuchezewa.  Akiwa mshauri wa usalama wa taifa wa Marekani ana ushawishi mkubwa kwa Rais wa Marekani. 1.438 kata lagi

Weyani

Trump atishia kuimaliza Iran

Rais Donald Trump wa Marekani ameionya Iran kutothubutu tena kuitishia Marekani, la sivyo itatokomezwa rasmi. 103 kata lagi

Weyani

Msiba wa Mengi umewaumbua viongozi jeuri

“KWETU kweli kuna mambo. Lakini ya kwenu yamezidi, wala usikatae,” alinambia wiki iliyopita mwanasiasa mmoja mashuhuri wa Uganda. Simtaji jina asije akaanza kuninyima uhondo wa uchambuzi wake wa siasa za ukanda wa Afrika Mashariki. 1.252 kata lagi

Weyani