Tag » Categorized!

JINSI YA KUMFANYA MUMEO AWAHI KURUDI NYUMBANI

Inawezekana ukawa upo kwenye mahusiano yenye changamoto ya Mume wako kuchelewa kurudi nyumbani, Zifuatazo ni njia ambazo zinaweza kukusaidia kumrejesha mapema nyumbani.

Jambo la kwanza ni vizuri ukajiuliza kama kweli upo katika ndoa sahihi, kwa kutizama chanzo cha mahusiano yenu ni kitu gani kilichowaunganisha lakini Pia ukajiuliza bila kujidanganya wewe na Mumeo mnafahamu maana halisi ya mapenzi ? 237 kata lagi

Categorized

DALILI ZITAKAZOKUONESHA MWANAMKE ULIYENAYE ATAKUSAIDIA KULETA MAFANIKIO

Katika moja ya Interview ambayo Barack Obama alifanya na jarida la “Black Enterprise Magazine” la nchini Marekani, muandishi alimuuliza kuhusiana na hali ya uchumi ya Marekani. 566 kata lagi

Categorized

TAMBUA VITU MWANAUME ANAVYOKUPIMA NAVYO ILI AKUJUE UNAFAA KUOLEWA AU NI HIT AND RUN

  1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa.
  2. Ukiingia kwake ukaona anampigia simu yule dada wa usafi anayekujaga mara moja kwa wiki aje afanye usafi alipwe usidhani eti anajali kihivyo.
  3. 318 kata lagi
Categorized

MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KUCHAGUA MPENZI


Unapotafuta mpenzi wa kuishi naye unatakiwa kuzingatia mambo yafutayo;

Chagua mtu mwenye msimamo
Muda aliotumia mpenzi wako kudumu katika uhusiano wake uliopita unaweza kukupa ishara ya nguvu ya mtu kudumu na wewe; Unaweza kutumia njia hii kama kipimo cha matarajio ya uhusiano wenu mpya. 507 kata lagi

Categorized

JAMBO LA KULITAFAKARI KWA UNDANI KABLA YA KUINGIA KWENYE MAISHA YA NDOA

Kabla ya kuingia kwenye maisha ya ndoa unatakiwa kupanga namna ambavyo utaishi kwenye ndoa hiyo hii ni kwa sababu waafrika ni kawaida yetu kuishi pamoja na ndugu zetu na kusaidiana katika mambo mbalimbali ya maisha tunapokuwa ndoani. 203 kata lagi

Categorized

VIGEZO VITAKAVYOMFANYA MWANAMKE AOLEWE MAPEMA

Wapo wanawake ambao wao wanajua kila siku ni Ijumaa, yaani hawatambui kwamba kuna Jumamosi na Jumapili pia. Watu hawa ni wale wanaodhani maisha ni raha tupu na kwamba wanaoishi kwenye shida ni wajinga.Ukweli hauko hivyo, maisha yana changamoto nyingi sana. 307 kata lagi

Categorized

ISHARA 12 ZA KUONYESHA KUWA RAFIKI YAKO AMEKUZIMIA

Ushawahi kuwa na rafiki yako, ama una rafiki ambaye tabia zake sikuhizi zimebadilika? Tabia zake zimekuwa tofauti na kama alivyokuwa zamani? Rafiki yako huyu umemuona amejeuka ghafla kukupa atenshen yake yote kwako? 598 kata lagi

Categorized