Tag » Article

Insight into Foresight

Budgeting is an essential tool used to monitor a business. It allows business owners to monitor what the business is actually doing, compared to what it wants to do. 253 kata lagi

Advice

Cross-Culturalism: Aspiring to make it in Hollywood as a Southeast Asian

By: Audrey Vibar

We have perhaps said about numerous things on what we want to be when we grow up for the sake of answering the hard-hitting question our aunts, uncles, & godparents are always dying to hear. 1.416 kata lagi

Article

Essay @FunDza

Check out my latest essay published by The FunDza Literacy Trust.

Read my essay here.

Also, see my FunDza Writer Profile here.

Happy Reading!

Essay

Uhuru wa habari: Mbona viongozi wetu wanapingana?

        Katika kuangalia haki na uhuru wa kukusanya, kusambaza, kutoa na kupata habari nchini, leo nitajikita kuonyesha mkanganyiko uliopo serikalini kiasi cha kugeuka tatizo kubwa kwa baadhi ya vyombo vya habari visivyokuwa “ndiyo mzee.” Kufungiwa gazeti la Mawio hivi karibuni kutatumika kama kigezo cha kudurusu hoja hii.  729 kata lagi

Blog

Mlevi kutia timu Ukanadani kudai njuluku

        Baada ya wanene kutupiga changa la macho kuwa wale waliowaita majizi sasa ni “wanaume” kama alivyokaririwa dingi akisema, nimeamua kutia timu Ukanadani kudai changu. Yule anatikisa kichwa; akidhani natania. 629 kata lagi

Blog

THE BOTTOM LINE: In voting, fear the politics of the tummy like leprosy

           For high-pitched Kenyans, the time to mint and print dosh’s arrived. Do you want quick dosh? Become an opinion pollster. Thereafter, just analyse and say things with full sangfroid even if you truly know are abracadabra and quackery. 729 kata lagi

Blog

Natamani Tanzania ingekuwa Korea ya Kusini

       Hivi karibuni, nchi ya Korea ya Kusini iliingia kwenye historia ya dunia kwa kuwa miongoni mwa nchi zinazopambana na ufisadi mkubwa bila huruma kuonea. Rais wa zamani wa nchi hiyo Park Guen-hye alijikuta akiondolewa madarakani na kusindikizwa gerezani anakongojea kusikilizwa shauri lake la kuruhusu rafiki yake Choi Soon-sil kutumia ofisi ya rais kujitajirisha kinyume cha sheria. 724 kata lagi

Blog